Home MUSIC AUDIO | Trillion Thamani – Sheta | Download MP3

AUDIO | Trillion Thamani – Sheta | Download MP3

Download | Play Now

 

Trillion Thamani, mshiriki wa shindano la Bongo Star Search mwaka 2020, ambapo alifanikiwa kuingia katika tano bora. Leo amewaletea ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la “SHETA”, ikiwa ni kifupi cha neno “Shetani”.

Katika wimbo huu, nimegusia dhana ya kufikirika: kwamba ikiwa Shetani asingefanya dhambi au kama angeweza kumuomba msamaha Mwenyezi Mungu, labda mabaya yanayoendelea duniani yasingekuwepo.

 

AUDIO | Trillion Thamani – Sheta | Download MP3

 

DOWNLOAD AUDIO