Wimbo mpya kutoka kwa Sele Minamba unaitwa “Mtoto wa Kishua”, ukiwa katika genre ya Singeli.
Wimbo huu umeandaliwa na maproducer wawili J Fant na Fadhili Chunchu, ambapo sound engineering na mixing imefanywa na Fadhili Chunchu.
Katika wimbo huu, Sele Minamba anasimulia simulizi ya kimapenzi ambapo amependa binti wa kitajiri, lakini wazazi wa binti hawakubali uhusiano huo kwa sababu Sele ni maskini. Hata hivyo, Sele anaendelea kusimama imara akiamini mapenzi yao yana nguvu zaidi ya vikwazo.
AUDIO | Sele Minamba – Mtoto wa Kishua | Download Mp3
DOWNLOAD AUDIO