Home NEWS LYRICS | Israel Mbonyi – Kaa Nami

LYRICS | Israel Mbonyi – Kaa Nami

 

Kaa nami __________

Chorus Ikiwa nimepata neema kwako, unikumbuke Jicho lako liwe juu yangu nyakati zote Wema wako unisindikize Hadi tamati Hili ni ombi langu, nakumwagia moyo Ninachoomba kaa nami ikiwa nimepata neema kwako.

 

1. Kutakuwa milima haitaondolewa Kutakuwa na mito na sitaweza kuvuka Sio kila ombi litajibiwa nipendavyo Sio kila wimbo utakaotuliza moyo Nimekupata, nina mtetezi Unionyeshe njia zako Nikujue.

 

2. Kumbuka hayo mema niwaombeayo wanaonifurahia maadui zangu nao, uwape kukujua Uwabaliriki kwa utele uwanyeshee mvua yamkini watapata kuona Wapumue upendo. Tunaoshiriki hii huduma, uwape uamsho Uwabaliriki kwa utele , Baba wala-hi-sishie.

 

3.Kwa maswali na majibu, umasikini utajiri, usumbufu utulivu Ewee Mwokozi kaa nami Kwa kupanda kwa kushuka, habari za kuvunja moyo Kwa uzushi na uongo Ewee Mwokozi kaa nami.